Unania ya kugombe jimbo lolote 2015 tz kupiti cdm peleka jina lako makao makuu cdm. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unania ya kugombe jimbo lolote 2015 tz kupiti cdm peleka jina lako makao makuu cdm.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by frema120, Jun 18, 2012.

 1. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Habari wana jf?
  nimeambiwa sasa hili,
  je kisemavyo kichwa cha habar ni sahihi au?
  naomba nifahamishwe na mwenye ukweli huu

  Eti kuwa lengo ni kuwapeleka sasa hivi wote aijalishi ni wangap wameomba jimbo moja kwa wananchi kupitia M4C hili kuteleza 2015

  Peoplesssssss..... power.
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  mimi iramba magharibi nikapambane na kichaa mwigulu
   
 3. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Huo ni uzushi
  Makao makuu ya CHADEMA haichagui wabunge,na kipaumbele cha chama kwa sasa si mambo ya ubunge,wa nani ana nia au asiye na nia,bali kuendelea kuwakomboa mamilioni ya maskini wa nchi hii
   
Loading...