DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 40,460
- 99,102
My Take:
Uyu jamaa "MEJJA" ana kipaji kikubwa sana cha kuimba mziki wa kuchekesha.
Uyu jamaa Ni stress free,
Uyu jamaa idea za Nyimbo zake sijui huwa anazitolea wapi, yaani Ni full vituko.
Rejea Nyimbo yake ya LAND LORD, BARUA, SISKII au ulimi yangu
Ukichanganya na ile lafudhi yake ya kiswahili ndo balaa.
Nikiangalia video ya nyimbo yoyote aliyoimba au ameshiriki Lazima nijikute tu NIMECHEKA.
Hali hii sijui ni mimi peke Angu au lah?
Hizi hapa Nyimbo zake maarufu sana alizoimba au kushirikishwa
1. Mejja- Land lord
2. Mejja- barua kwa bro
3. Femi one ft Mejja- UTAWEZANA
4. Mejja- siskii
5. Mejja- ULIMI YANGU
6. Mejja- Tabia za wakenya
Picha zake nimeambatanisha