Unamzungumziaje msanii Mejja maarufu kama Okonkwo?

Napenda land lord na Niko poa..jamaa namkubali Sana..
Lakini Kenya wanaujua mziki wa vichekesho..Kuna wimbo wa "sitoi kitu kidogo" unachekesha lakini Kuna ujumbe
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom