Unamzungumziaje msanii Mejja maarufu kama Okonkwo?

Kama wimbo wa Siskii....
Jamaa kaanzishiwa Vagi ikabidi amuite mbochi awaite maafande, baadae kamrudia demu

"Siskii, siskii, siskii
Niliambiwa nimuache siskii
Kamote, kamote, kamote

Madha anataka nimuache
Maboyz wanataka nimsare
Mpaka namba yake nimeblock
Hadi IG nitakushow

Alipiga na namba sijuii
Kiundani nikaskia nimefurahi
Kidogo nikaskia amedai
Aki babe nataka kukuona "One last time"
Akakuja amevaa mini, akanichanganyisha akili
Nikamnyandua tukarudiana eeh

Siskii, siskii, siskii
Niliambiwa nimuache siskii
Kamote, kamote, kamote"
 
hahahaha huyu ni fulu comedian yaani kama ile LANDLORD ni hatari sana.
Uyu Father house alikua ni KICHOMI BALAA
images-105.jpg
 
Back
Top Bottom