Unamzungumziaje Baba Yako

tutakaoteseka ni sisi wana UFIDU
 
Shua boy napokukubali hujawah kucheka na kima, nakuheshim sana ingawa unawapenda dada zetu kuliko sisi masela
Masela inabidi mkaze πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sio mselelekee free za Kitonga. Wacheni madada wale raha za boss kazi
 
halafu unakuta mwanamke analeta utoto wa kupondea aina hio ya.malezi
 
He's a genius by IQ and a very smart,loving, understanding and generous man hajuagi kuweka kinyongo na mtu.

Ali excel mapema sana kimaisha through education na at age 23 alikabidhiwa senior position kwenye sector nyeti. Too bad alifika juu at a very young age akahujumiwa na wazee aliowapiga gap kwa kitabu kama mjuavyo li inchi letu hili ukiwa junior by age ila zinachaji haswa akatoka kwenye system mapema but still amemanage kuishi standard life nje ya system till date.

Babu alikuwa anamtambua kama Simba ilionyeshewa na mvua maana kwa mda mchache tu alibadili maisha ya kwake,kwao na ya ndugu wengi kwenye ukoo. Hakuna mtu ambae alikuwa karibu nae ambae hakugusa maisha yake kwa hali na mali. Kama ni bata watu walikula sana wa kusoma walisoma, wa kujengewa walijengewa na mawe yalikuwa sio ya masihara.

Personally, im thankful to have him as a dad na ninaweza kusema japo tulimpoteza mama mapema he's been enough of a man katika makuzi yangu kwa kunifacilitate kwa mengi tu kama mzazi mpaka nilipofikia hatua ya kujitegemea na nimejitahidi sana kutokum dissapoint throughout. Sahizi tunaongozana kwenye public events and we are both proud of eachother.

Ameweka alama kubwa kwenye maisha yangu as a good leader and example kwenye jamii, challenging at times ila kila anaemfahamu anamuongelea kwa mazuri tu sijawahi sikia negative reviews, inshort sina la zaidi la kumlipa but kumuombea afya njema zaidi najitahidi kumbariki na upendo tu na ma luxuries anazopenda katika safari yake ya maisha iliobaki hapa duniani.

Nampenda sana mzee wangu.
 
Wow, I hope you will do the same to our kids
 
Dah..congrats sana kiongozi...
 
Baba yangu Ni rafiki yangu
Anajali mafanikio yangu(He feel proud of me)...anajivunia Mimi kuwa mwanae,
Ni baba Bora kwangu

Kuna wakati kunatokea Hali ya kutoelewana baba na mama...mimi Ni rafiki yake ndiye mtoto pekee niliyebakia nyumbani (last born) ataniita na kunishirikisha..nitaongea na wazazi wangu kwa upendo bila kuegemea upande mmoja

Furaha anayokuwa nayo baba yangu nikifanikiwa hasa kitaaluma Ni kubwa Sana pengine kuzidi hata yangu
Akiwa na hela hapendi nipate shida hata kidogo

Sijawahi onja kipigo Cha baba hata siku moja...na Niko katika njia Bora kabisa

Natamani wanangu waje kuwa na baba Bora ikiwezekana zaidi ya baba yangu

"Happy father's day"
 
Here I am!
 
Nimempenda sasa I wish angekuwa ndo baba mkwe wangu
 
Wababa wengine Hadi lahaaaaaa
 
Hivi Kuna uhusiano Kati ya tabia ya baba na namna mtoto huyo atakavyokuwa kesho kitabia???(kwa wanaume)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…