KAJICHO KIVULI
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,061
- 547
TUPIA CHOCHOTE KUHUSU HUYU MTU....
Ni boko haram tu wanaoweza kufanya hivi, naona kitabu pale nyuma kinalindwa kwa machine gun!
Amekodoa macho sana bila shaka nyama imekwama kooni huyu