We mla mashonde umetokea wapi.Ahahaaaaaaaaaaah...
Mimi naona MAKAFIR tu hapo..!
Ambao kwa imani ya dini yako ni watu wasio na akili..!
Aaah aah mkuu upo vizuri.Naanza na hao waliokaa kutokea kushoto
Irving Langmuir, Max Planck, Maie Curie, Hendrik Lorentz, Albert Einstein, Paul Langevin, Charles-Eugène Guye, CTR Wilson, Owen Richardson
Wakati kati ni:
Peter Debye, Martin Knudsen, William Lawrence Braggn, Hendrik Anthony Kramers, Paul Dirac(Wale telecom wanamjua huyu), Arthur Compton, Louis de Broglie, Max Born, Niels Bohr.
Mkuu mimi naijua vibaya mno Physics na Mathematics.Hao asilimia kubwa walikuwa kwenye Physics ila wapo wa kwenye math kina EUCLID naona picha yao hujaileta..Aaah aah mkuu upo vizuri.
Pamoja sana kamanda.Mkuu mimi naijua vibaya mno Physics na Mathematics.Hao asilimia kubwa walikuwa kwenye Physics ila wapo wa kwenye math kina UUCLID naona picha yao hujaileta..
Walete na kina Leornard Euler ambaye ndio anahesabika kama best mathematician ever.Jamaa alipokufa macho akawa kipofu hivyo akaachana na mathematics
Hapo mume wake Marie Curie simuoni kabisa.Naona alikuwa ashafariki maana jamaa alianza kufa mapema sana akamuachia mkewe aendelee na Radioactive
Mkuu inaonekana ni mfuatiliajiDuuu .... Perrin , Wien , Curie, and Poincaré. Goldschmidt, Planck , H. Rubens , Sommerfeld, Lindemann, M. de Broglie , M. Knudsen, Hasenohrl , G. Hostelet , Herzen , Jeans, E. Rutherford , Kamerlingh Onnes, A. Einstein and Langevin .
Namuona polepole hapo wa pili kulia(walioketi)
Ahahaaaaaaaaaaah...We mla mashonde umetokea wapi.
Haya ndo madhara ya kunywa divai na mashonde kanisani.
Hivi unafahamu kwenye hiyo list kuna mpaka ma atheists
Halafu mbona unalazimisha sana dini iumane na sayansi?
My friend kati ya unaowaona hapo hakuna hata mmoja aliyetumia biblia kufanya gunduzi zake.
We mla mashonde umetokea wapi.
Haya ndo madhara ya kunywa divai na mashonde kanisani.
Hivi unafahamu kwenye hiyo list kuna mpaka ma atheists
Halafu mbona unalazimisha sana dini iumane na sayansi?
My friend kati ya unaowaona hapo hakuna hata mmoja aliyetumia biblia kufanya gunduzi zake.
Erasto mpemba si mwanafizikia Mkuu...japo alisoma fizikiaView attachment 599639
Huyo wa kushoto anaitwa Erasto Mpemba.
Ni mwanafizikia wa kitanzania.
Google "The Mpemba effect"