Unampa maksi ngapi huyu dogo?

Nampa b ngempa A sema kachora chezaji la manure..
 
Angalia alivyoshika hiyo chaki ndo utajua maksi zangu.
 
sina hakika kama anahusika 100 kwa 100
 
Jameni, MBONA KAMA ANAREKODI TU VIDEO, Hata alivyoshika hiyo chaki hafananii kuifanya kazi hiyo
 
Niliyotaka kumpa haipo kwenye majibu ya kuchagua...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…