B.olo Yeung
Your are next....daah, kitambo enzi za utundu wangu...
U know ur cool if you remember this guy..
ndo huyo huyo jamaa alitu inspire sana kuwaponda wazinguaji.. afu alikua hacheki
Kumbe bado mdogo sana
67 years (July 3, 1946)
---- Yeung, Age
Ilitamba sana, tulikuwa tunaiita au tunasimuliana wewe umeliona lile picha la Van Damme wawiliDouble impact... Hio movie ili rock balaa
Unakumbukumbu kinoma mkuu