Hata Osam bin Laden alikuwa mshirika wao mkuu katika kuuong'oa utawala wa soviet Afghanistan enzi zile! hawa jamaa huwatumia watawala kama muwa vile, unakuwa na thamani pale unapokuwa na maji, baada ya kuukamua hutupa makapi na kuita uchafu! soon viongozi wetu watakuwa sawa na muwa kwa US