Unamkumbuka ?

Renegade

JF-Expert Member
Mar 18, 2009
7,127
6,764
Mnoriega.jpg


Manuel_Noriega_mug_shot.jpg



General Manuel Antonio Noriega (born February 11, 1934) was a Panamanian soldier and the de facto military leader of Panama from 1983 to 1989. He was initially a strong ally of the United States and was regularly paid by the CIA from the late 1950s to 1986. By the late 1980s his actions became increasingly unacceptable, and he was overthrown and captured by a U.S. invading force in 1989, taken to the U.S., offered trial, and imprisoned in 1992. Up to this date, he remains imprisoned in a federal prison in Miami, Florida.
 
Wajuzeni watawala wa wadanganyuika wanaofikiri wanawajomba marekani!! Hawa jamaa hawana marafiki wao ni interests zao ndio paramount; I hope vilaza wetu watafumbua macho kwa haya!!
 
Hata Osam bin Laden alikuwa mshirika wao mkuu katika kuuong'oa utawala wa soviet Afghanistan enzi zile! hawa jamaa huwatumia watawala kama muwa vile, unakuwa na thamani pale unapokuwa na maji, baada ya kuukamua hutupa makapi na kuita uchafu! soon viongozi wetu watakuwa sawa na muwa kwa US
 
Rick Ross anasema alipokuwa askari jela, alikutana na Noriega.

Jailed for longtime now, with 72 years now its allover .Huu ubabe ulinisikitisha sana. Jeshi linapokwenda kumtimua kiongozi wa nchi kwao! Noriega alivyo seek refugee katika Italian Embassy Jamaa walikuja na LOUD speakers wakapiga Music nje ya ubalozi continuasly, Ikabidi Italians wamtose Noriega.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom