ah, mengi tunayapitia vijana, kuna kuachwa na kuacha vyote ni kutafuta sehemu sahihi, unaweza kupata au kukosea pia,, kikuwa mnavyoachana mwombee baraka unaemwacha, na wewe unaeachwa umia huku ukiomba heri katika safari zako!!
.
.
niliwahi kupendwa nilivyokuwa chuo, ah yule mdada alikua akinipenda sana,, ila kijana sikuwa tayari.. hua namwombea sana apate baraka na mume mwema!