Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,660
Mahusiano yakifa, kila mmoja huwa anaelezea habari mbaya za aliyekuwa mpenzi wake, yale mazuri yote yalifutika mapenzi yalipoisha.
Jamaa analalamika jinsi gani ameweza kumpangishia nyumba mpenzi wake, alaf mpenzi wake nae ameleta mpenzi wake wanaishi kwa kodi ya jamaa.
Kuna dada analalamika kuhusu yule boyfriend wake ambae walikuwa washatambulishana hadi kwa wazazi, ila ghafla jamaa amebadili mawazo na kuwa kivuruge.
Kwa ufupi kila mtu anajaribu kuelezea jinsi mapenzi yalivyomtenda. Ila ngoja nikuulize swali mkuu:
UNAMKUMBUKA YULE EX WAKO?
Yule ambae pamoja na upendo wote aliokuwa nao kwako, ila ulimuona hafai ukampiga chini bila sababu ya msingi? Namaanisha yule ambae ni muda mrefu sasa tokea muachane nae, ila mpaka leo akiulizwa kwanini mliachana wala hajui sababu, maana hukumpa sababu ya kueleweka? Yeah huyo ndio nakuuliza, UNAMKUMBUKA?
Sasa basi, jinsi ambavyo unasota katika mahusiano ya sasa, au jinsi ambavyo unaumia kwa uliyopitia hivi karibuni, basi kipindi kile pengine aliumia zaidi ya hivi.
Mkuu nakuuliza tena, Unamkumbuka yule ex wako? Yeah yule ambae alijituma kama mke kwako japo hakujulikana kwenu wala kwao hawakukujua. Eti dada angu, hivi bado unamkumbuka yule aliyekuwa anasimamia shoo za mahitaji yako as if ni mzazi wako ila ghafla ukaamua kutemana nae. Analyse nimemkumbuka leo ndio maana nimeonelea nikuulize na wewe:
Unamkumbuka yule ex wako?
Quick reminder wakuu ni kwamba : "We are all bad in someone's story" so punguza kulalamika yakikukuta, hata wewe ulishawahi kumliza mtu.
Stop live in time, live in moments. Ukiumia lia, ila ikija happy moment basi fatana nayo furahia to the max. Ila ukijifanya unazikwepa good moments eti kwavile upo kwenye bad time, YOU WONT BE HAPPY FOREVER
Hakuna anayefanya ubaya akiwa anaamisha kufanya hivyo, watu wanakuwa wanajaribu kutafuta furaha.
Analyse
#Baharia_wa_nchi_kavu