donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
huyu ni Michael Dudikoff
.
.
.
.
.
.
maiko dudikof
alikuwa anacheza na black mmoja hivi anaitwa nani vile
kitu kaba steven james
.Marehemu Steven James!
Alikua star kweli, ila sembe ikampoteza
kuna filamu alicheza na mtu mzima carry hiroyuki Tegawa sikumbuki inaitwaje,
Tegawa anaangusha ndege iliyobeba misaada kwa wahanga wa vita kule vietnam akidhani kuwa ndege hiyo ina silaha ili azipore.alipogundua hakuna silaha akachukua bastola yake na kumlenga muudumu wa ndege ile, yule muudumu akajitetea kwa kusema "but sir we are bring relief to your people" Tegawa akamjibu "i am the people" mmoja wa askari wa Tegawa alipoona tukio lile akamwambia Tegawa "we are making alot of mistake sir" Tegawa akamjibu "you the mistake" akamshuti. hii filamu inanikosha sana
.
.
.
.
.
rest in peace budy....aliyumika vizuri sana kutupa burudani kipindi kileeeee ila sana tu kwa kweli japo alikuwa ananiuzi anakufa kifaaaaaala
mkuu niambie ni muvi gani hiyo niisakekuna filamu alicheza na mtu mzima carry hiroyuki Tegawa sikumbuki inaitwaje,
Tegawa anaangusha ndege iliyobeba misaada kwa wahanga wa vita kule vietnam akidhani kuwa ndege hiyo ina silaha ili azipore.alipogundua hakuna silaha akachukua bastola yake na kumlenga muudumu wa ndege ile, yule muudumu akajitetea kwa kusema "but sir we are bring relief to your people" Tegawa akamjibu "i am the people" mmoja wa askari wa Tegawa alipoona tukio lile akamwambia Tegawa "we are making alot of mistake sir" Tegawa akamjibu "you the mistake" akamshuti. hii filamu inanikosha sana
Kama sijakosea inaitwa Soldier Boyz...
Hizo ni enzi za VHS...