Sijamlazimisha huo ni ukweli.๐๐Gatutuso!! Afu unamlazimisha mwenzio acheki facts zake๐๐๐ถ
Huu mfano .. ni uhalisia kabisaWale wenye jicho la mpira wanaona kabla mechi haijachezwa kutokana na tabia za wachezaji.Mfano unajua kabisa beki za yanga zitasababisha penalty kumkaba Mpanzu au Kibu hivyo mashabiki wao wanaanza kampeni ya propaganda eti Simba anapata penalty za mchongo
Siku hz uzee umemzidia,kwanza haruhusu wenzie kuzungumza pia hana mpangilio katika kuzungumza,anaweza ongea hata mambo yasiyotakiwaSiku hizi yuko wapi huenda akatusaidia wawekezaji.
๐๐Sasa huo ukamilifu wako wqkumkosoa mwenzio ili hali wewe pia unaweza kukosea/kusahau unapata wapi?.Sijamlazimisha huo ni ukweli.
Alikosea.
Mimi kukosea kwangu kwa kuandika Gattuso akufanyi yeye awe sahahi kwa kusema fainali ni kati ya Italy na Germany.
By the way ni kumbukumbu tu zilinipotea ni muda mrefu since nishuhudie hiyo game.
Kwahiyo fainali ya kombe la dunia mwaka 2006 ilikuwa kati ya Italy na Germany?๐๐Sasa huo ukamilifu wako wqkumkosoa mwenzio ili hali wewe pia unaweza kukosea/kusahau unapata wapi?.
Kwahiyo aliyrpigwa kadi nyekundu alikuwa Gattuso?.Kwahiyo fainali ya kombe la dunia mwaka 2006 ilikuwa kati ya Italy na Germany?
Alikuwa Materrazi kama sikosei. Gattuso kichaa zingepigwa.2006 fainali ni kati ya Italy na France sio Germany.
Tukio maarufu ni red card ya Zidane kufuatia kumtwika kichwa Gattuso.
Recheck your facts.
Wewe ni zaidi ya mpumbavu.Kwahiyo aliyrpigwa kadi nyekundu alikuwa Gattuso?.
Binadamu kaumbwa kukosea, na ndio maana hata wewe mrekebishaji pia umekosea kuelezea tukio la aliyepigwa kichwa. Kwanini unalazimisha mwenzio ndio aonekane kakosea wakati hata wewe umekosea? Hilo funzo kwako kuwa kwa namna ambavyo kakosea inaweza kutokea kwa yeyote yule kukosea na mfano halisi imetokea kwako wewe mwenyewe.Sijamlazimisha huo ni ukweli.
Alikosea.
Mimi kukosea kwangu kwa kuandika Gattuso akufanyi yeye awe sahahi kwa kusema fainali ni kati ya Italy na Germany.
By the way ni kumbukumbu tu zilinipotea ni muda mrefu since nishuhudie hiyo game.
Pendent kusoma mbona kuna sehemu nimeshakubali kwamba ni Materrazi au unafikri mpaka sasa nakataa kwamba si Materrazi?Alikuwa Materrazi kama sikosei. Gattuso kichaa zingepigwa.
Nadhani kioja alichofanya Gattuso ni kubaki na boxer akisherehekea ubingwa
Naona nyege zimekupanda sasa ๐Wewe ni zaidi ya mpumbavu.
Kuna sehemu nimeandika Gattuso kapewa kadi nyekundu?
Aliyepewa kadi nyekundu ni Zidane ndicho nlichoandika.Kimakosa nikaandika baada ya kumpiga kichwa Gattuso which is not true alikuwa ni Materrazi.
Sasa wewe unacho complain ni nini?
Au ni mke wa jamaa umejiskia vibaya kumkosoa mumeo?
Kuna watu hawatakuelewa....Kaanza kubeti 90 kweusi
Kwani kuna sehemu nimekataa sijakosea?Binadamu kaumbwa kukosea, na ndio maana hata wewe mrekebishaji pia umekosea kuelezea tukio la aliyepigwa kichwa. Kwanini unalazimisha mwenzio ndio aonekane kakosea wakati hata wewe umekosea? Hilo funzo kwako kuwa kwa namna ambavyo kakosea inaweza kutokea kwa yeyote yule kukosea na mfano halisi imetokea kwako wewe mwenyewe.
Hilo ni lishamba na limbukeni, anahisi mtu kusahauni jambo la ajabu...Binadamu kaumbwa kukosea, na ndio maana hata wewe mrekebishaji pia umekosea kuelezea tukio la aliyepigwa kichwa. Kwanini unalazimisha mwenzio ndio aonekane kakosea wakati hata wewe umekosea? Hilo funzo kwako kuwa kwa namna ambavyo kakosea inaweza kutokea kwa yeyote yule kukosea na mfano halisi imetokea kwako wewe mwenyewe.
Wanawake wa siku hizi utawaweza?Wewe ni zaidi ya mpumbavu.
Kuna sehemu nimeandika Gattuso kapewa kadi nyekundu?
Aliyepewa kadi nyekundu ni Zidane ndicho nlichoandika.Kimakosa nikaandika baada ya kumpiga kichwa Gattuso which is not true alikuwa ni Materrazi.
Sasa wewe unacho complain ni nini?
Au ni mke wa jamaa umejiskia vibaya kumkosoa mumeo?
This is what we call a psychological projection.Naona nyege zimekupanda sasa ๐
Binadamu kaumbwa kukosea, na ndio maana hata wewe mrekebishaji pia umekosea kuelezea tukio la aliyepigwa kichwa. Kwanini unalazimisha mwenzio ndio aonekane kakosea wakati hata wewe umekosea? Hilo funzo kwako kuwa kwa namna ambavyo kakosea inaweza kutokea kwa yeyote yule kukosea na mfano halisi imetokea kwako wewe mwenyewe.