king'amuzi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 614
- 225
hilo ni jibu toshaa!
wala sio cabo snoop Huyu ni RIO PAUL fashionista wa bongo he's a very good friend of mine, kind hearted ukiachia mbali mambo yake he love fashion and he's 100% into it..though ana girlish attitudes but awe shoga asiwe shoga hayo ni maisha yake binafsi sidhani kama yanapaswa kujadiliwa jamvini
Usinitanie kanjusi ww watu hawana muda bana...Kanjusi
mjini hapaachaga uxenge
kwanii kinaa anti abuu,kinjee wa moshi wanasuraa nzuriii