Unamjuaa huyu???

Umesomeka kamanda
Lakini maisha binafsi unafrahia ushoga?
 
Utetezi usio na nguvu, kwa hiyo mtu akiwa ana sex na binti yake above 18 yrs nayo tuseme ni maisha yake binafsi jamii isijiulize na katika hilo. Elewa jamii ina value zake ambazo asiyezifuata lazima jamii imshangae na kumjadili.
 
Last edited by a moderator:

kwenda zako

utetezi usio na nguvu, kwa hiyo mtu akiwa ana sex na binti yake above 18 yrs nayo tuseme ni maisha yake binafsi jamii isijiulize na katika hilo. Elewa jamii ina value zake ambazo asiyezifuata lazima jamii imshangae na kumjadili.

naomba ieleweke kwamba sitetei ushoga..hivi jamii ni kina nani??? Yeye ni sehem ya jamiii kumbuka..acheni kumpangia shangwe zake..tatizo mlisoma st.kayumba ndo mana mna behave kishenzi
 
E
naomba ieleweke kwamba sitetei ushoga..hivi jamii ni kina nani??? Yeye ni sehem ya jamiii kumbuka..acheni kumpangia shangwe zake..tatizo mlisoma st.kayumba ndo mana mna behave kishenzi
we nae ni walewale maana hoja yako ya st kayumba kama unaona umeongea point kumbe uharo...we wa st francis tueleze una miguu mitatu nini?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…