Ston Merchant JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 393 Reaction score 105 Jul 13, 2012 #1 Baba: Unamjua Anna Makinda mwanangu? Mtoto: Hapana Baba Baba: Pumbavu sana, kuwa makini na habari za kijamii haswa kufatilia Bunge Mtoto: Baba unamjua Godfrey..? Baba: Simjui Mtoto: Na wewe pumbavu, kuwa makini na mama shauri yako hpo vp?
Baba: Unamjua Anna Makinda mwanangu? Mtoto: Hapana Baba Baba: Pumbavu sana, kuwa makini na habari za kijamii haswa kufatilia Bunge Mtoto: Baba unamjua Godfrey..? Baba: Simjui Mtoto: Na wewe pumbavu, kuwa makini na mama shauri yako hpo vp?
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,853 Jul 13, 2012 #2 loh lazima uumpe mtoto kibano ili akueleze vizuri.
A aduwilly JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 1,191 Reaction score 320 Jul 13, 2012 #3 imetulia kaka
KML JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 861 Reaction score 134 Jul 13, 2012 #4 edited.... ila ipo poa
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Jul 13, 2012 #5 Man KKK said: edited.... ila ipo poa Click to expand... watu wamechoka copy & paste wanajitahidi kuedit lakini laza ileile
Man KKK said: edited.... ila ipo poa Click to expand... watu wamechoka copy & paste wanajitahidi kuedit lakini laza ileile