ng'wanankamba
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 346
- 120
Baba: Unamjua Nyerere?
Mtoto: Simjui
Baba: Pumbafu wewe, kuwa makini na masomo yako utafeli mitihani.
Mtoto: Baba, unamjua Hamis?
Baba: Simjui
Mtoto: Pumbafu wewe, kuwa makini na ndoa yako! Anatembea na mama.
Mtoto: Simjui
Baba: Pumbafu wewe, kuwa makini na masomo yako utafeli mitihani.
Mtoto: Baba, unamjua Hamis?
Baba: Simjui
Mtoto: Pumbafu wewe, kuwa makini na ndoa yako! Anatembea na mama.