Ni kweli mkuu hapo Ni mambo ya timing sasaMkuu ukiwa na silaha mkafanyiwa timing, labda bar au popote kwenye kusanyiko, usije hata siku moja ukathubutu kutoa silaha hata kama unayo, the grave mistake tht even a trained commando would thnk twice, sababu hao majambazi wameweka kwenye plan yao kuwa upo uwezekano kukawepo na watu wenye silaha, bora ingekuwa raia tu mwenye silaha, lakin wanaogopa zaid kuwa anaweza kuwepo askar au polis au mjeda, au hata usalama na akawa pia na silaha so wanakuwa wanawa monitor wote.
Niliona pale mawela sinza jamaa walivamia, mlinz akijidai eti hawamuon akaanza kupiga simu, ww, hee jamaa alimtungua kutokea mbali kishenzi, wale jamaa nadhan huwa ni askari.
Me naongelea watu wachache wameingia sehem wana mapanga, au vibaka wale wa mtaani wanakuja na silaha ndogo ndogo.
Pengine sijakupata vizuri unaposema kwamba huwezi kujilinda mwenyewe kwa silaha yako. Kule kuvamiwa na kuuawa kwa baadhi ya watu kwa kushindwa kutumia silaha zao ndiyo kunakokufanya uhitimishe kwamba hauwezi kujilinda mwenyewe kwa silaha yako? Je haujawahi kushuhudia au kusikia kuwa kuna watu wameokoa maisha yao (kujilinda) kwa kutumia silaha hizo hizo wanazomiliki?Huwezi kujilinda mwenyewe kwa silaha yako mkuu...labda umlinde mtu mwingine kwa silaha yako.ni wengi wenye silaha wanavamiwa na kuuawa bila kutumia silaha zao.
Ila kuna point wengi hamkuizingatia kuhusu powerful mind..hebu tujaribu kuwa na mitazamo yote
Barikiwa sana [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]mshana jr katika ubora wake. Maneno yako yamechoma kama ya mhubiri mwenye upako. Nakubaliana na wewe kabisa. Ulinzi pekee na wa uhakika ni wa Mungu peke yake. Neno la Mungu linasema;
'Bwana asipoulinda mji yeye alindae akesha bure'
Dah...ajabu sana...kabisa hata makanisa yanalindwa na walinzi wenye vyuma[emoji85]Kweli mungu anatosha sana silaha mzigo tu
Dah...ajabu sana...kabisa hata makanisa yanalindwa na walinzi wenye vyuma[emoji85]Kweli mungu anatosha sana silaha mzigo tu
hahah labda alimamaanisha silaha ya udunguaji snipe weaponIla sniper ni mdunguaji ujue
Imani pasipo imani? [emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Dah...ajabu sana...kabisa hata makanisa yanalindwa na walinzi wenye vyuma[emoji85]
Dah...ajabu sana...kabisa hata makanisa yanalindwa na walinzi wenye vyuma[emoji85]
Inawezekana...Sio kwa bongo hii ndugu yangu