Unamiliki silaha ili iweje?

Dunia ya leo mkuu wote tukiwa na mawazo kama yako mshana jr. Magaidi watatawala dunia na mauaji ya watu wasio na hatia yataongezeka
Hapana sijamaanisha hivyo nilichomaanisha ni ule umiliki wa mtu mmoja na sizungumzii majeshi wala vyombo vya usalama
 
Kuna mahali nimelijibu hili mimi mwenyewe binafsi ninazo silaha zangu ndani lakini sio mabunduki na mabastola
 
Hapana sijamaanisha hivyo nilichomaanisha ni ule umiliki wa mtu mmoja na sizungumzii majeshi wala vyombo vya usalama
Mkuu umeangalia matukio machache ambayo mimi naweza kuyaita ajali lakini hujaangalia matukio ya kuokolewa watu na Mali zao ambayo ndiyo mengi zaidi, ajali zipo hata kwenye majeshi na mifano ipo
 
siraha pesa, bunduki mzigo tu, kwan unaish kwa wasiwasi muda wote unawaza imekaa vzr ulipoihfadh nk.
 
Mshana hapa umekuwa upande mmoja, infact hata mm kuna wakat nilishawah kufikir hivyo kuwa silaha si muhimu, as long as usalama upo na mtu hujatengeza maadui wa kimaisha au kibiashara. Ila muda unavyoenda unagundua sio sahihi, panafika pahala inabid kuzuia vitu vinavyoweza kuepukika. Kuna vijana hawana ajira wanapiga vyuma, sijui karate na mazoezi mengine yenye nia mbaya kwa vijana na wananchi wengine, sasa ikiwa ww ni mtu uko bize huwez ku countereffect hayo mazoez, afterall hujui how intensive they are, njia pekee ni cha moto.
Kingine ni uvamiz wa mara kwa mara, boda boda, sijui misikitin, sema huwez kupambana na watu wenye silaha sababu ile ni timing.
 
Duu nilidhani hii mada ni ya Kisayansi kumbe ni ya kiimani!! Nendeni mkahakiki siraha zenu jamani, tusimuachie kila kitu Mungu, jipiganie huku ukiomba sana msaada wa Mungu ndiyo maana hata Misikiti au Makanisa yana walinzi.
 
Kuna kitu nimeandika wengi hawakukizingatia nimesema your mind is the most powerful weapon....
 
Mkuu umeangalia matukio machache ambayo mimi naweza kuyaita ajali lakini hujaangalia matukio ya kuokolewa watu na Mali zao ambayo ndiyo mengi zaidi, ajali zipo hata kwenye majeshi na mifano ipo
Ila kuna point wengi hamkuizingatia kuhusu powerful mind..hebu tujaribu kuwa na mitazamo yote
 
Wengi wenye silaha Ni waoga na hawawezi kuzitumia wakati muafaka,ipo mifano mingi utakuta mmevamiwa mahali lakini mwenye bastola mkiambiwa Lala chini ye ndio wa kwanza anaogopa na anatetemeka hata kuishika hawezi,wengi wao Ni "mabitoz nyangema"
 
Mmh hapana hizo physical powers zinatokana na powerful mind
Ukikutana na mhalifu ni bora mtu moja mwenye Silaha ya kumdhibiti huyo mhalifu kuliko watu mia wenye powerful mind wasio na Silaha ya kumdhibiti huyo mhalifu
 
Ukikutana na mhalifu ni bora mtu moja mwenye Silaha ya kumdhibiti huyo mhalifu kuliko watu mia wenye powerful mind wasio na Silaha ya kumdhibiti huyo mhalifu
Powerful mind unajua ina uwezo wa ku neutralise any delicate or dangerous situation
 
Huwezi kujilinda mwenyewe kwa silaha yako mkuu...labda umlinde mtu mwingine kwa silaha yako.ni wengi wenye silaha wanavamiwa na kuuawa bila kutumia silaha zao.
 
Wengi wenye silaha Ni waoga na hawawezi kuzitumia wakati muafaka,ipo mifano mingi utakuta mmevamiwa mahali lakini mwenye bastola mkiambiwa Lala chini ye ndio wa kwanza anaogopa na anatetemeka hata kuishika hawezi,wengi wao Ni "mabitoz nyangema"

Mkuu ukiwa na silaha mkafanyiwa timing, labda bar au popote kwenye kusanyiko, usije hata siku moja ukathubutu kutoa silaha hata kama unayo, the grave mistake tht even a trained commando would thnk twice, sababu hao majambazi wameweka kwenye plan yao kuwa upo uwezekano kukawepo na watu wenye silaha, bora ingekuwa raia tu mwenye silaha, lakin wanaogopa zaid kuwa anaweza kuwepo askar au polis au mjeda, au hata usalama na akawa pia na silaha so wanakuwa wanawa monitor wote.
Niliona pale mawela sinza jamaa walivamia, mlinz akijidai eti hawamuon akaanza kupiga simu, ww, hee jamaa alimtungua kutokea mbali kishenzi, wale jamaa nadhan huwa ni askari.
Me naongelea watu wachache wameingia sehem wana mapanga, au vibaka wale wa mtaani wanakuja na silaha ndogo ndogo.
 
Powerful mind unajua ina uwezo wa ku neutralise any delicate or dangerous situation
Mshana acha siasa kwenye ugaidi, hebu fikiria kilichotokea kwenye msikiti huko Mwanza kama angekuwepo mtu mmoja tu mwenye Silaha sasa hivi ingekuwa habari nyingine
 
Mshana acha siasa kwenye ugaidi, hebu fikiria kilichotokea kwenye msikiti huko Mwanza kama angekuwepo mtu mmoja tu mwenye Silaha sasa hivi ingekuwa habari nyingine
Kweli kabisa ndugu yangu hii sio siasa na vile vile iko beyond ugaidi tena hii kitu tuiweke pembeni maana wale walivamiwa it was a preplanned attack...kumbuka pale ni nyumba ya ibada wala sio bar huwezi hata kama una silaha yako ukaingia nayo pale..unajua powerful mind is beyond hizi illusions za silaha it's something very big natamani kuandika sana lakini niko mishemishe ngoja nitulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ