Unamhitaji mwenye hela?

Unamhitaji mwenye hela?

Joined
Mar 11, 2022
Posts
14
Reaction score
15
Una Sifa Za Kuwa Na Watu wenye Hela ?

Ivi unajua kuwa Huyo Ulie nae kwa sasa, inawezekana ni kwa sababu Hana hela, na Siku akipata hela Anatafuta wa Level Nyingine.

Jiweke Kwenye Level ya Kuwa na Mtu mwenye Hela, Vinginevyo, Ndege wenye manyoya yanayofanana Wataruka Pamoja.

Utakuta Kidada kinachagua Wanaume Balaa, Lakini Ni Kichafu na hata Kuoga hakijui.

Kinanuka Hadi Mdomo. Weka Mazingira Ya kuwa na Quality Upate Mwenye Quality.

Hakuna Mtu mwenye Hela anaekubali Kuwa na Mwanamke Mchafu na Mwenye Muonekano wa Hovyo.

KIPIMO CHAKO NI HIKI.

Ukiona Unawalingia Watu waliochoka Basi hata wewe inawezekana Umechoka pia.

Ukiona Unauwezo wa kuwalingia Hadi Wanaume wanaojiweza kifedha ina maana Quality yako Ipo Vizuri.

Anagalia hadhi za watu unaowalingia, Yaani wale unasemaga wanakupenda alafu wewe unawasumbua, ( Unawazingua ) , Basi inawezekana hiyo ndio Level yako ya kweli.

Nb. Tabia ya kuringa ni Hulka ya Mwanamke.

Ila isizidi Kiwango.
 
Hata Mimi nkipata Hela ntabadilisha Kila mtu kasoro my family tu....!! Kwasababu tunaishi kinafki sana
 
Back
Top Bottom