Unamfahamu?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Sunda: Wee Ayebo, unamfahamu John Kitime?
Ayebo: aaaaa, huyo? Nani asiyemjua? Namfahamu sana!
Sunda: Ehe, hebu nieleze, ni nani huyo?
Ayebo: Kitime bana kama humjui, ndiye mwanzilishi na mwendeshaji wa tuzo za KTMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…