Ila kuna MTU kanisimulia anadai kuwa huyu mdudu haumi kama vile wengi wanavyodhania.
Ni kweli ndugu bysange huyu ni Tandu................tandu huyo
cc MziziMkavu wasemaje hapa
Ila kuna MTU kanisimulia anadai kuwa huyu mdudu haumi kama vile wengi wanavyodhania.
centipede or milipede
Tate Usoto Mghoshi kisuse ni kisambaa, kiswahili ni n'getunamwita Kisuse huyo
Tate Usoto Mghoshi kisuse ni kisambaa, kiswahili ni n'ge
[MENTION=35269]@tate usoto Nkwei aloo. Haya mghoshi niughushia wana huko usotoMosie kuja kaya tiitanga kisuse amba waateia usoto ni kishambaa du!!