Hapa Afrika kama unamdai mtu ukiwa unahitaji lazima uandae maelezo ya kutosha.habari
leo sitaki kuongea sana
Naomba mwenye connection ya upande wapili anipe ili niweze kulipwa madeni yangu
Hakuna kitu kinauma unamdai mtu pesa zako then anaongea jeuri
Kwaunyenyekevu mkubwa sana naomba mnishike mkono kwenye hili (comment hapo chini nikucheki)
Na ukikaa kizembe unaweza usilipwe vilevile.nikama unaomba msaada - pesa yako ila uandae maelezo ambayo yatamfanya akuonee huruma
Kwanini mnakopeshaga watu?!, tulishakataza humu. Anaetaka mkopo aende FINCA au MPAWA!! mtakosana na ndugu zenu!habari
leo sitaki kuongea sana
Naomba mwenye connection ya upande wapili anipe ili niweze kulipwa madeni yangu
Hakuna kitu kinauma unamdai mtu pesa zako then anaongea jeuri
Kwaunyenyekevu mkubwa sana naomba mnishike mkono kwenye hili (comment hapo chini nikucheki)
๐๐nikama unaomba msaada - pesa yako ila uandae maelezo ambayo yatamfanya akuonee huruma