Unamchukuliaje yani!!

Unamchukuliaje yani!!

mackdy1

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
208
Reaction score
94
Leo ni siku ya MAMA duniani,na baadhi ya watu wanaposti picha za mama zao kwa hisia zao tofaut

Plz ebu sema neno moja kwa mama yako kipenzi

Mi naanza,"sikuchoki mama yangu"
 
Mungu ampumzishe kwa amani Mama yangu hakuna kama wewe hapa duniani.
 
Mungu ampe maisha marefu yenye barka na heri ndani yakr na ampe mwisho mwema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom