Unamchukuliaje mke/mume wa mtu unayechepuka naye?

Tunguja

JF-Expert Member
Feb 15, 2018
450
327
Mimi huwa namuona ni ma..ya tu,na ikiwa siku za nyuma nilitaka kumuoa ikashindikana basi namshukuru sana Mungu.

Inawezekana vipi mtu ana mume wake anatongozwa anakubali! Halafu anakwambia nimekukubalia wewe tu wanaume kibao nawachomolea,pullmbervoul !!hata useme nini mimi nakuona ma..ya tu,hakuna mwanaume anayependa kushea ukiona amekubali kushea na mwingine ujue anakuchukulia kama walewale maCD na hakupendi,mke wa mtu ni kipezeo tu wala hajawahi kupendwa.
 
Pete ya ndoa anaweka kwenye pochi mkimaliza anavaa tena,inakera sana...
 
Back
Top Bottom