Mi namchukulia kama mtu wa kumringishia manake toka tumeachana yupo kama kafulia, videmu vyake viwanachuo vinampiga mizinga hata sio vya maendeleo! Anabakia kushangaa hee una mtoto hongera, mara hee umenunua gari hongera! Mi natuuupa kule, ujinga wake mwenyewe kuniacha
U are not over him lol
wala nikiwe, m over him totally n completely. I love baba Beata n he will be the last man in my life, infact I find my ex very funny and a loser too
Hahaha kitu cha dolidoli,jaman vbaya ivoMi namchukulia kama mtu wa kumringishia manake toka tumeachana yupo kama kafulia, videmu vyake viwanachuo vinampiga mizinga hata sio vya maendeleo! Anabakia kushangaa hee una mtoto hongera, mara hee umenunua gari hongera! Mi natuuupa kule, ujinga wake mwenyewe kuniacha
Namchukia sanaaaaaah
Habari zenu wanajamvi ni matumaini mu wazima kabisa
Nauhakika asilimia kubwa yetu humu tumepitia mahusiano kadhaa kabla ya ndoa(kwa waliooa na kuolewa) na kwa wale ambao hawako katika mahusiano sasa baada ya kukumbwa na mahasibu tofauti tofauti,na kila mtu ana mtazamo tofauti kwa hao ma EX,je wewe unamchukuliaje EX wako?Rafiki yako?Adui?
Binafsi EX hawezi kua rafiki yangu wala adui yangu yan namuweka katika group la mtu wa kawaida tukikutana barabaran ni salamu tu hakuna story zingine(kama n msaarabu lakini) kama ni wale wanaoleta maneno mbovumbovu hakika sitaki hata unisalimie wala kuniuliza kitu na hata kuntext kwa bahati mbaya sitaki kabisaaaa
vipi? mlishabwagana na yule jamaa yako aliyekuwa anakutukana?
Hahaha hapana andaa mchango wako wa harusi...!af mim sinaga historia ya kumwagwa ila kumwaga nkiona dalili za hatar tu najitoa fasta,C vizuri kumwagwa jtahd kusoma mazingira ukiona hatar unajtoa
Haha bila shaka alikutenda vbaya na mliachana bado unapenda na nahc yey hakuna anakupenda km ulivokua unampenda,na inavoonekana wew ukipata ka chance lazima ugonge mzgo...haha
By the way u hali gani mzee wa Migegedo??long tym
Habari zenu wanajamvi ni matumaini mu wazima kabisa
Nauhakika asilimia kubwa yetu humu tumepitia mahusiano kadhaa kabla ya ndoa(kwa waliooa na kuolewa) na kwa wale ambao hawako katika mahusiano sasa baada ya kukumbwa na mahasibu tofauti tofauti,na kila mtu ana mtazamo tofauti kwa hao ma EX,je wewe unamchukuliaje EX wako?Rafiki yako?Adui?
Binafsi EX hawezi kua rafiki yangu wala adui yangu yan namuweka katika group la mtu wa kawaida tukikutana barabaran ni salamu tu hakuna story zingine(kama n msaarabu lakini) kama ni wale wanaoleta maneno mbovumbovu hakika sitaki hata unisalimie wala kuniuliza kitu na hata kuntext kwa bahati mbaya sitaki kabisaaaa
mhm mbona mademu wengi sana humu wanasema wao wanabwaga na sio kubwagwa...kweli ama ndio usanii wa jf? haya bwana so upo ready kuvumilia mitusi ndani ya ndoa? sie twla mchle na kusepa matusi kazi kwako
Ucmchukie loôks like ur still into hm/her ku avoid other disapointment km u ar in other relationshp punguza contact nae asije akaku take for grantedvery true indeed...
alinipenda sana....gafla akabadika na kuniambia hana Hisia na mm tena...niliumia sana saivi amebaki kuwa rafik...nilijitaidi kumchukia lakin nilishindwa