Unamchukiliaje mwanaume asiye na ndevu wala sharubu.?

Habari zenu wana janvi?.
Hivi Mwnaume uson usipokuwa na ndevu au sharubu walau kidogo unajichkuliaje.!!?.

Binafs nilishajarib mara kadhaa bila ya ndevu lakin nilijiona tofaut mno.
Nahsi mtoto wa kiume uso ukiwa msafi sana(bila ya ndevu) hii inakuwa imekaa vibaya..

#ni mtazamo tu.


Binafsi sipendi ndevu kwani sitaki kufananishwa na magaidi wa kiislam.
 
Ukiwa na ndevu hata ukimpokea mamsapu kubembeleza mtoto hawezi kudai nyonyo kwa sababu akipapasa anakutana na biwi la ndevu.Ila kama huna ndevu mtoto atadai ziwa kwa sababu haoni tofauti kati yako na mama yake.
Matumizi ya mihadarati yamewaharibu ndo maana mnjadili upupu humu!!!
 
Uso wa mwanaume rijali kambisa usipokuwa na kimoja kati ya hivyo basi mdomo wake unakuwa kama Asshole
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom