Amoeba
JF-Expert Member
- Aug 20, 2009
- 3,288
- 793
Tujaribu kubadilishana uzoefu wakuu, kwa wale wanaotumia ISP ttcl,kwa huduma ya dedicated-specifically kwa speed ya 512mbps bei elekezi n ngapi? Pia itakuwa vizuri kama mtu mwenye habari za ndani kutoka ttcl atueleze utaratibu utumikao "kukokotoa" malipo ya huduma hizi (hasa kwa watumiaji wa kati na wadogo). Kama wewe pia n mteja wa TTCL, hasa dedicated, naomba tujuzane unanunua spidi ipi kwa bei gani, na unapata download speed ngapi!
Kuna kengere inalia kichwani!
Natanguliza shukrani.
Kuna kengere inalia kichwani!
Natanguliza shukrani.