BALIMI CASTLE
Member
- Aug 2, 2017
- 33
- 47
Habari zenu wanajamvi.
Kuna kijana mmoja jirani yangu alimaliza kidato cha nne mwaka 2011.
Na matokeo yake yalikuwa kama ifuatavyo
1-CIVICS-D
2-HISTORY-D
3-KISWAHILI-C
4-ENGLISH-D
5-GEOGRAPHY-D
6-PHYSICS-C
7-BIOLOGY-B
8-CHEMISTRY-D
9-BASIC MATHEMATICS-D
Akaenda A-LEVEL na matokeo yake yakawa hivi kwa mwaka 2014
1-GENERAL STUDIES-D sasa hivi - E
2-PHYSICS-E sasa hivi - S
3-CHEMISRTY-D sasa hivi - E
4-BIOLOGY-C sasa hivi - D
5-BASIC APPLIED MATHEMATICS- C sasa hivi - D
Sasa alipomaliza kidato cha sita hakuendelea na masomo ya juu,akawa anashughulika na shughuli mbalimbali za kiuchumi kwa kuwa familia aliyotoka ni masikini walishindwa kumsaport kwa lolote lile.
Sasa hivi ana miaka 3 mtaani tangu amalize kidato cha sita,na ameweza kufanya shughuli tofauti tofauti za halali za kiuchumi na kuweza kukusanya kama milioni 5 hivi.
Lengo lake ni mwakani arudi shule akaanze kusoma clinical officer(C.O) ngazi ya cheti kwa kutumia hizo milioni 5 alizokuwa nazo.
1-Je anaweza kupata chuo cha afya kupitia NACTE?
2-Je una ushauri wowote unaoweza kumpa kuachana na huo wa kusoma?
Note: umri wake sasa hivi 26 yrs.