tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
Hao si ndio wale walikuwa wanenguaji wa Tancat Almas Okestra katika ule wimbo wa Makumbele au sio.
Hao si ndio wale walikuwa wanenguaji wa Tancat Almas Okestra katika ule wimbo wa Makumbele au sio.
Kuna ngoma moja wamemshirikisha Didy inaitwaje vile..?
Naielewa sana hiyo ngoma
mmmmm!!!!! Kweli wewe uko mbaliiiiiHao si ndio wale walikuwa wanenguaji wa Tancat Almas Okestra katika ule wimbo wa Makumbele au sio.
ilo song lipo katika albam iyo ambayo wimbo its about time unapatikanawalikuwa na wimbo unaitwa you always on my mind so long time
mi nakumbuka enzi hizo radio one ndio ina anza anza wako wapi akina taji liundi na maiko muhagama nisaidieni wako wapi hawa jamaaa enzi zile ndani ya dj show saa nane tulikuwa hatukosi lakini siku hizi amna kitu kila radio ngololo ngololoDa inanikumbusha mbali sana, enzi hizo rock garden morogoro
walikuwa na wimbo unaitwa you always on my mind so long time