Unalikumbuka igizo la Tausi?

Unalikumbuka igizo la Tausi?

katika mchezo was tausi nan mshindi?
Kalumanzira
La
lala salama
ma
mama wa kambo
mbo
mbona unanitesa
sa
Sasa naondoka
ka
kaa pekee yako
ko
koma kunipiga
ga
 
Hiv kwanin hii michezo ya kuigiza,..au hata ile ya enzi zile kina bishanga,au ile ya kina kibakuli ilikuaga mitamu sana kuliko hiz bongo muv za skuhiz,hiz bongo muv ni uchaf mtup,hakuna kitu,sjawai ona acting za ajab kama bongo muv
Ni uchafu mtupu?
We huo usafi wako uko wapi?
Sio vyema kuita kazi za wenzio uchafu.

Yawezekana kwako ni uchafu kweli, ila kwao ni kazi inayowapatia kipato na kuendesha maisha yao na Familia zao.
 
Ni uchafu mtupu?
We huo usafi wako uko wapi?
Sio vyema kuita kazi za wenzio uchafu.

Yawezekana kwako ni uchafu kweli, ila kwao ni kazi inayowapatia kipato na kuendesha maisha yao na Familia zao.
Kupata kipato haiwezi kuwa kigezo cha kuhalalisha uchafu, bongo movie ni uchafu, uchafu haswaa, ever!!
 
Kupata kipato haiwezi kuwa kigezo cha kuhalalisha uchafu, bongo movie ni uchafu, uchafu haswaa, ever!!
Tunasubiri hizo zenu safi.
By the way sio lazima kila mtu aangalie.
 
Huu mchezo wa TAUSI, VIOJA MAHAKAMNI (ya akina olexanda lukakotra) Pamoja na ule mchezo wa mama kayaii, ojwang na mwala wa zamani ndio naona MAMBO MEMA WAKENYA waliowahi kufanya, baada ya hapo ubunifu wao uliisha na kuaza kudanganya wazungu kuwa vizuri vilivyopatikana bongo ni vya kwao kama. Mlima kilimanjaro, tanzanite, diamondplatnums, alikiba, roze mhando, na christina shushu
 
"MJUBA", ilikuja kumaanisha mshamba baadae
 
Dahhhhhh umenikumbusha mbali mkuu.

Na ule wimbo wa mwanzo.
" Taausiii ndege wanguuu , ndege wanguuu wa faahari, ndege umekwiiisha maliii sasa watafakarii "

"Wapitaaa watuu wawili, wameleta uramali,
Sasa tuko mbali mbali, sasa tuko mbali mbali".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom