Unalijua hili?

Unalijua hili?

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
9,548
Reaction score
11,539
Mechanical (automatic) watches are not as accurate as quartz (battery operated) watches. They may have a difference of +/- 15/20 seconds per 24 hours period of their being on a practical (the movement of hand on which the watch is worn should be sufficient enough) wrist.
 
mmmhhhhhhhhh ngoja nikakojoe nikalale.
Maana mie silijui kabisaa na sielewi hata moja

Ha haa haaaa, usisahau kuamka kula dau!.....

Sasa kama huelewi si ndio uulize ili uelewe? nadhani hapa platozoom anamaanisha zile saa za mkononi za kuja za kwa ufunguo (Zisizotumia batery) zinaathiriwa na jinsi mienendo ya mkono kutokana na ukweli kwamba ufnyaji wake wa kazi ni wa ki analogia na sio digitali zinazotumia batery.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha ndugu yanguu unaleta uamsho humu tena.
mie ni Mmanyema wa Kigoma kaka nipo huku kutafuta maisha tu.
Maana huo msemo ukisema huku unajulikana haooo wale waleee wazee wa kulalamika
 
kaka nahisi kama unachanganya... saa kua mechanical sio kigezo cha kua automatic??? kwani saa za mechanical hazitumii battery??? ninavyojua mimi saa kua automatic ndio the best hata bei zake zimechangamka na ni maduka machache sana hapa bongo unaweza pata saa ambayo ni automatic!!!! so i think kama unataka kushauri watu kununua saa basi kigezo ni kwamba mtu akifika dukan aulizie kama ana saa yoyote ni automatic???
 
Back
Top Bottom