Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 969
- 844
- Thread starter
- #41
Hichi kichwa balaaaHuyu hapa dio Duncan Campbell, kwenye picha hiyo ya wengi ndie anaeonekana wa kwanza alikuwa lead singer watu wakampachika jina la "The voice of UB 40".
Cheers!