Unalalaje mtu wangu?

Unalalaje mtu wangu?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,030
Reaction score
59,684
Chagua namba hapo na toa maelezo kwa nini ImageUploadedByJamiiForums1360766278.171321.jpg
 
Namba 3 ila bila top. Sumtimes 4 kabisa( Suti ya kuzaliwa)
 
namba 4 ndio mpango mzima na hili joto la Dar!!!
 
Mimi kwa kweli no 4, lakini nikivaa number 1, ni kosa la jinai kama una Ndoa.
 
No. 1 mara nne kwa juma, na .........

Crosslegging.jpg

mara tatu kwa juma.
 
Back
Top Bottom