Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,587
- 60,999
Kujipanga upya kunawezekanaDaaah ni stresi!
Muda wa kusimamia hakuna, ukiweka mtu basi kubali kulizwa
Kabisa,shida na muda na kujigawa.Muda wa kusimamia hakuna, ukiweka mtu basi kubali kulizwa
Wapo waliozaliwa kuwa 'cheap labour' tuSio lazima wote tuwe wafanya biashara
Hata ukifanya hvo utabadilishi wasimamiz wangap kwa mwaka? Inakua gharama zaid. Mana utagundua uliemueka anaiba,utamfukuza ataekuja nae mwiz utamfukuza and it goes on like that.
Hii ni changamoto kwa watu wengi; lakini mwisho wa siku lazima lengo litimie. Ulishawahi kujiuliza swali, kwa nini makampuni au taasisi zingine zina matawi mengi na zimeajiri watu wenye tabia mbalimbali na wamiliki wako mbali? Ni muhimu kutengeneza mfumo thabiti wa kuzuia au kupunguza uwezo wa kuibiwa pale unapokuwa mbali na biashara au mradi wako. Ndio maana kwenye makampuni au mashirika kunakuwepo na mfumo wa ukaguzi kwa kipindi fulani.
Kwa hiyo hujatekeleza lolote?Kabisa,shida na muda na kujigawa.
Ndiyo,zipo savings huko. Mpaka nikipata muda ndo nitafungua ninachotakaKwa hiyo hujatekeleza lolote?
Tukiimarisha mifumo kwenye biashara, lazima itasonga. Pamoja na kujiimarisha kwenye ripoti za kila siku, wiki n.kHata ukifanya hvo utabadilishi wasimamiz wangap kwa mwaka? Inakua gharama zaid. Mana utagundua uliemueka anaiba,utamfukuza ataekuja nae mwiz utamfukuza and it goes on like that.
Mwingine haibi lakin kwa kua biashara siyo yake haitilii juhud. Mteja anue asinue ye hajali,poor customer care/service
Kwa sasa umeanza na hatua zipi?Ndiyo,zipo savings huko. Mpaka nikipata muda ndo nitafungua ninachotaka
Kumbe unafahamu hiloWapo waliozaliwa kuwa 'cheap labour' tu
Tupatie uzoefu ili wengi tuweze kujifunzaMm kamshara 6k mmh nikaona hapa nisipotafuta kitu ntadoda nikafungua biashara ya online decorations naona imenitoa sehemu moja
Nakula pesa ya kodi.Mwaka unaelekea ukingoni, umeajiriwa labda unakipato cha laki mbili, sita, milioni n.k, lakini huna hata genge la nyanya wala supu; angalau kila siku uwe unaangusha mbuzi mmoja.
Kwa kifupi, unaishi kwa mshahara tu au uchawa; tatizo ni nini?
Na mpaka sasa umechukua hatua gani?
Ulifikiaje hayo malengo?Nakula pesa ya kodi.