Haviwezi kile mwanaume anaeza fanya maana venyewe ni vivulana[emoji260]Eeehhh kwani vibenten haviwezi nini pyeeeee[emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo wajidanganya hivyo[emoji49] anyways kila mtu ajue anavyojua.Haviwezi kile mwanaume anaeza fanya maana venyewe ni vivulana[emoji260]
Ni nini kama genye?Muongozo siyo Genye
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama hiviView attachment 714327
Mkuu ulimaanisha version?Kwa watoto wakali wa siku hizi unaanzaje kuwa mwanaume bila kucheat ,
Unakuta una demu mkali lakini uko barabarani unakutana na demu mkali kuzidi demu wako,
Full kujibebisha, hivyo vinguo wanavyovaa sasa,Nyuma kishundu siyo haba unaanzaje kumuacha demu kama huyu .
Kila leo watoto wakali wanazidi kuzaliwa mpaka unajiuliza hivi kule kwenye uumbaji wanatumia Update ya Vision ngapi maana hivyo vyuma vinavyokuja siyo mchezo..!
Unaanzaje kuwa mwanaume Bila kucheat kwa wakati huu.?View attachment 714321
Kama wamekula bange [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkichitiwa nyie sasa mnavo pagawa...
Wachezaj n wachache sanaKucheat na uwezo wenyewe muwe nao sio mtu anaenda kujiabisha tu huko, utasikia nakula tu hela yake ananipaka uchafu tu nampa pole mkewe, basi wewe akijibebisha bichwa kubwa kumbe unachunwa tu
kwani hiyo dini imekudhikia panga ..hujioni kama umekuwa mtumwa kwaajili ykufuata maandiko wakati hata hao waandishi huwajuiTatizo hizi dini zetu za Ukristo zimefanya wake zetu wawe na kiburi na wivu na kuondoa uasili wa mwanaume kuwa na mke zaidi ya mmoja...
mmaaa yaelekea kwa viben 10 beki hazikabi ..maana sio kwa experience yako hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo wajidanganya hivyo[emoji49] anyways kila mtu ajue anavyojua.
Halafu huwezi amini Mimi na vibenten mbalimbali sitaki hata kuvisikia, keyboard 😉mmaaa yaelekea kwa viben 10 beki hazikabi ..maana sio kwa experience yako hiyo
alaaaa kumbe !!! basiii thawaaaHalafu huwezi amini Mimi na vibenten mbalimbali sitaki hata kuvisikia, keyboard 😉
Gentleman❤Wanaume tupo busy na familia zetu, kucheat tumewaachia wavulana