Kwa hiyo umenote hapa tu ?"Kila leo watoto wakali wanazidi kuzaliwa mpaka unajiuliza hivi kule kwenye uumbaji wanatumia Update ya Vision ngapi maana hivyo vyuma vinavyokuja siyo mchezo.."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Je Kama simtegemei huyo mume wangu najitegemea mwenyewe unadhani nitashindwa kumlea mariooSisi wanaume hatuna haraka nao kwa sababu hao ni Marioo maisha yakikupiga utarudi tu kwa the big boss mmeo.
Uongo uko wapi?Acha uongo
Utetezi bora kuliko wote kuwahi kutokea tangu kuumbwa kwa Jf.Huwa nacheat kwenye mtihani wa hisabati mamii.... hapo tu baaas!
Sawa. [emoji41]Mwisho wa siku utashindana nae tu maana Mario nae anamacho ya kuona uumbaji huko nje .