katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Ndiyo kwa vile mleta uzi ni form 2!Kwani ngono ni kitu negative?
Tuanzie HapaKwani ngono ni kitu negative?
Hoja tunaanzia hapaKwani ngono ni kitu negative?
Katika vitu positive kwa mwanaume, ngono ni namba 3. Na mara nyingi hatuendi mbali na hiyo namba hata kama tutajadili mengine.Hivi kwanini unakuta wanaume ukikaa naohupenda kuongelea debate za ngono??
Wanawake wenye tako wakipita ndio shida kabisa kwanini lakini badala yakuwaza vitu positive
Ni tendo la ndoa, halifai kuongelewa na wasio wanandoa tena hadharaniKwani ngono ni kitu negative?
Kama wewe ukipita tutakuangalia kulingana na username yakoNi wanaume wasio na shughuli.
[emoji23][emoji23][emoji23] nshazoeaaaKama wewe ukipita tutakuangalia kulingana na username yako
Ni tendo la ndoa, halifai kuongelewa na wasio wanandoa tena hadharani
Lakini sio kitu negative
Ni negative kama kikizungumzwa mahali pasipo sahihi na watu wasio sahihiLakini sio kitu negative
Watu wasio sahihi kivip? Acha ubaguziNi negative kama kikizungumzwa mahali pasipo sahihi na watu wasio sahihi
Kwani kungonoka siyo shughuli?Ungejua kuwa 'reasonable %' ya kipato cha wanaume kinaenda kwenye ngono usingesema hivyoNi wanaume wasio na shughuli.