tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 498
Ulikuwa bado hujazaliwaSikupitia kabisa
Mzee umemalza kiburang'oma mwaka gan ??Nakumbuka shule ya msingi kiburang'oma hapo Lizaboni Songea
Kwa sababu tuliosoma zamani tulikuwa na akili sana pamoja na ubunifu,hawa wa sasa wanashindana na dada zao kukaa kwenye kiooKwanini siku hizi hakuna hii kitu kwenye shule zetu
Ndio.Kwa sababu tuliosoma zamani tulikuwa na akili sana pamoja na ubunifu,hawa wa sasa wanashindana na dada zao kukaa kwenye kioo
1987 kiongoziMzee umemalza kiburang'oma mwaka gan ??