Unakumbuka wapi?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,836
730,287
1451913317227.jpg
 
Mkuu mshana jr nduguyo nipo New Delhi huku kwa kina Amitah, nambie kama unajua lolote kuhusu yale mambo yetu ya asili yanayopatikana huku, mana mimi ni mpenzi wa TT (Technology Transfer)
 
Mkuu mshana jr nduguyo nipo New Delhi huku kwa kina Amitah, nambie kama unajua lolote kuhusu yale mambo yetu ya asili yanayopatikana huku, mana mimi ni mpenzi wa TT (Technology Transfer)
Nina Safari ya Mumbai mwezi ujao kwa ajili ya hiyohiyo TT itabidi tuonane Kama muda ukiruhusu
 
Ukiingia jf kupitia malipo ya bure (free basics) inaweza kua ni sababu la image nyingi kutokuonekana.ila ikiwa na bundle tatizo hili ni mara chache sana kuotokea
Nina unlimited ya mwezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom