Helicobacter pylori
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 430
- 287
- Thread starter
- #21
Umeitumia wapi mkuu???Hiyo kitu nimetumia sana asee.
Umeitumia wapi mkuu???Hiyo kitu nimetumia sana asee.
nilimaanisha huko kwao JP...mkuu....Kuna uhusiano wa nilichoandika na hizo herufi (JP...) ulizoweka?
Usukumani Mkuu, Magu kijijini kabisa.Umeitumia wapi mkuu???
Kunasadifu kabisa, Dela gawizaUsukumani Mkuu, Magu kijijini kabisa.
Ha ha ha ha! Kumbukumbu nzuri hiyo, huwezi sahau siku hiyo. Ilikua mara ya kwanza nini?Usukumani ukweni hyo milipga kitu hicho mwanza 1 hyo
Gawiza amadela ginehe!Kunasadifu kabisa, Dela gawiza
Nikiri wazi huo mi sijaukuta ila nimekuta huuView attachment 418745
Mie nakumbuka kijijini kwetu Utegi-MARA.
Wewe je?
Na je Mnatumiaga hiyo kitu nyekundu??
mola sanaGawiza amadela ginehe!
bila shaka we ni wa mbeya....Nikiri wazi huo mi sijaukuta ila nimekuta huuView attachment 419395
Kwa nini mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]bila shaka we ni wa mbeya....
Wapi hiyo mkuuNakumbuka kijijini sikukuu ya uhuru 9 December....
huko ndiko nilipo ona style hiyo ya mlo, parachichi, ugali na vichwa vya kukuKwa nini mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sio huko tuu mkuu ulaji huo inategemea na mazoea ya mtu!!kwa mfano wapo wanaokula ugali kwa kurumangia na ndim au embe bichi!!na wapo wanaokunywa chai na ndizi mbivu!na vilevile wapo wanaokula ugali na parachichi tuu kama mimi[emoji3] [emoji3]huko ndiko nilipo ona style hiyo ya mlo, parachichi, ugali na vichwa vya kuku
wapo wengine wanakula ugali na ndizi mbivu na chai ya rangi....😀Sio huko tuu mkuu ulaji huo inategemea na mazoea ya mtu!!kwa mfano wapo wanaokula ugali kwa kurumangia na ndim au embe bichi!!na wapo wanaokunywa chai na ndizi mbivu!na vilevile wapo wanaokula ugali na parachichi tuu kama mimi[emoji3] [emoji3]
Mi mwenyewe naweza[emoji3] [emoji3]wapo wengine wanakula ugali na ndizi mbivu na chai ya rangi....😀
HahahahahahhahKuna mdau alileta ishu ya constipation hapa mpaka akawa anamogoa kimba kwa mikono pole pole huku mkewe akimtia moyo. Angekuwa amekula huu ugali na constipation yake hiyo mpaka sasa angekuwa bado chooni akiwa anamogoa [emoji23][emoji23][emoji23]