Helicobacter pylori
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 430
- 287
Mie nakumbuka kijijini kwetu Utegi-MARA.
Wewe je?
Na je Mnatumiaga hiyo kitu nyekundu??
Ni uwezo wa mikono yako kua shap......Mimi nakumbuka kijijini ipandikilo sengerema miaka ya 1996 huo msosi ni full ubabe
n huko lindi mnakulaga hiyo?Nlikua Lindi maporini huko
mkuu hiyo ngoma ukiipiga kavu kavu mila kuipunguza makali, itakua ni experience ambayo hutasahauu.....Kuna mdau alileta ishu ya constipation hapa mpaka akawa anamogoa kimba kwa mikono pole pole huku mkewe akimtia moyo. Angekuwa amekula huu ugali na constipation yake hiyo mpaka sasa angekuwa bado chooni akiwa anamogoa [emoji23][emoji23][emoji23]
kwa kule kwetu Mara, wga inachanganywa na Unga wa muhogo, mkuu hapo utaipenda upate na mboga nzuri kama kimoro, samaki au nyama...ha ha ha ha.......Msosi mtamu ila chooni sasa!!! ni vita mura!
Ga angiso.....Unaijua hiyo mkuu
Hapo supu ya pweza inasubiri....🙄Wazee wa kaliua ina wahusu hiyo
ha ha! kumbe huko kwa JPM ni kwa ajili ya wapendanao?Mboga Saba Ndio Hivi?
Kumbe kuwa mboga saba ni simple sana!!
Huo ni Ugali wa Valentine Day, Kwetu kijijini Chato.
ha ha! kumbe huko kwa JPM ni kwa ajili ya wapendanao?
Aiseee kudadeki umenikumbusha kwetu . Nyanduga Utegi. Yaani hiki chakula ni hatari.View attachment 418745
Mie nakumbuka kijijini kwetu Utegi-MARA.
Wewe je?
Na je Mnatumiaga hiyo kitu nyekundu??
ha ha ha Jagweng` kuna jamaa hapo kafunika mchuzi bila shaka utakua mhuzi wa kuku au Aliya...Aiseee kudadeki umenikumbusha kwetu . Nyanduga Utegi. Yaani hiki chakula ni hatari.