Capitano JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 1,959 Reaction score 1,635 Apr 13, 2018 #121 Alexkayanda7 said: Duh kaigo boyz Click to expand... Eee bana eeee Kaigo mwaka gani. mie 1984 hadi 1987
Alexkayanda7 said: Duh kaigo boyz Click to expand... Eee bana eeee Kaigo mwaka gani. mie 1984 hadi 1987
Capitano JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 1,959 Reaction score 1,635 Apr 13, 2018 #122 Planett said: Nakumbuka kigonsera sec school Click to expand... Mzee hiyo inaitwa kaigo banaa. Mie nilikuwa hapo 1984-1987. Na tuna group letu la wana kaigo na liko strong sana kwenye kujumuika pamoja kwenye shida na raha
Planett said: Nakumbuka kigonsera sec school Click to expand... Mzee hiyo inaitwa kaigo banaa. Mie nilikuwa hapo 1984-1987. Na tuna group letu la wana kaigo na liko strong sana kwenye kujumuika pamoja kwenye shida na raha
G Getang'wan JF-Expert Member Joined Apr 9, 2015 Posts 3,076 Reaction score 3,418 Apr 14, 2018 #123 madurufu said: Click to expand... Hii inanikumbusha JKT 1990/91, usawa wa gudulia. Kambi Oljoro. Kitu inaitwa angle.
madurufu said: Click to expand... Hii inanikumbusha JKT 1990/91, usawa wa gudulia. Kambi Oljoro. Kitu inaitwa angle.