Unakumbuka/umetumia kadi hizi za simu?

Unakumbuka/umetumia kadi hizi za simu?

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
3,832
Reaction score
5,309
Je? umetumia kadi hizi za simu? wakati huo wa Mobitel na kadi zao za kadi poa, Vibanda vya simu vya ACG na TTCL na kadi za Rafiki, Celtel, VodaCom na Tritel.
lffd.jpg

f95c.jpg

fe9e.jpg

o340.jpg

xxgj.jpg

sxey.jpg
 
Sijui kwanini walikua wanatengeneza makubwa hivyo.
 
Dah... Mie nimetymia sana za TTCL, kila wiki nilikuwa nanunua ya sh. 1000
 
Yah, imemis ya tritel, baada ya kuanza kumiliki simu mtandao wangu wa kwanza ulikuwa tritel though kadi za ttcl za kupiga kwenye vibanda nimetumia sana
Wapi ya Tritel?
 
Back
Top Bottom