Mwenyeminazi
Senior Member
- May 24, 2012
- 194
- 67
- Thread starter
-
- #21
taja ya kwako kwanza maana me nna uhakika asilimia mia.niambie nikikupa second chance hutaniumiza tena
Unanikumbusha siku nilipompigia bf wangu na kumwambia mie na wewe bhaaas! wakati huo niko chuo hakuamini akanifata kuhakiki nikamwambia simtanii, jamaa alitoa machozi hivi hadi kwenye mashavu akatoa leso akafuta, daah nilimuonea huruma. Ila mapenz kitu cha ajabu wala sikumsikiliza nikaendelea na penz langu jipya kwa raha zangu. Mapenz kitu cha ajabu sana.
Sakapal,.. mbona unanitisha hivyo lol..... yani uliamua tu kumwambia hivyo du isije siku nami nikapigiwa cm hivyo lol..mapenzi haya mbona yananitisha sasa!!
Nadhani alishapata ishara kuwa mapenzi hayaendi kama mwanzo. manake ukipata kipya lazima upande mwingine ulegee. na lazima alikutenda.Usiogope Aggrey86 hakuna anayependa yamkute haya hata mie wakati huo nilikuwa nimeshapagawa na penz jipya na wala chozi la jamaa halikunistua nirudi nyuma. Ukiwa kwenye dimbwi la mapenz unaweza kufanya kitu cha kutisha zaidi ya nilichokifanya mimi. Pamoja na kuwa nilikuwa na sababu ingine ila siku ya siku nilitumia simu tu kuvunja mahusiano, hakuamini kabisaa. Mapenz mabaya, mapenz yanarun dunia.
Siitaki 2nd chance ila nataka kurekebisha muda niokupotezea kama nimekuathiri
Nadhani alishapata ishara kuwa mapenzi hayaendi kama mwanzo. manake ukipata kipya lazima upande mwingine ulegee. na lazima alikutenda.
kupenda nako sometimes ni matatizo. njemba inaangusha kilio!!!! Duuh
Usiogope Aggrey86 hakuna anayependa yamkute haya hata mie wakati huo nilikuwa nimeshapagawa na penz jipya na wala chozi la jamaa halikunistua nirudi nyuma. Ukiwa kwenye dimbwi la mapenz unaweza kufanya kitu cha kutisha zaidi ya nilichokifanya mimi. Pamoja na kuwa nilikuwa na sababu ingine ila siku ya siku nilitumia simu tu kuvunja mahusiano, hakuamini kabisaa. Mapenz mabaya, mapenz yanarun dunia.