Kichwa Kontena
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 661
- 565
makongoro misheni ??? kama ni hapo hua pabaya saana dah ila basi alichokipenda ndio kimemuuaNi kweli amefariki, nimeuliza kwa wadau walioko Mwanza ni kweli amegongwa na gari maeneo ya makongoro
Duh maskini kinshuli, nakumbuka vituko vyake, alivokua anatusihi vijana jitahidini kuutafuta umaarufu, jamba hata mbele za watu uwe maarufu....Wale mliosoma Mwanza secondary miaka ya 90 nimepata taarifa Mwl. Kinshuli amefaliki kwa kugongwa na gari akiwa kwenye mazoezi yake ya kukimbia.Pumzika kwa amani The greatest of all time Mr.Kinshuli!
Namkumbuka ticha bundala mwanza sec alikuaga anavaa yebo yebo anabeba na limfuko limechorwa zile katuni za kuleana, siku moja walitaka kuzichapa na kinshuli kisa kinshuli amemsema kaenda kwa bundala kakuta wanakula ugali mkubwa eti mtu wa upande huu na upande mwingine hawaonanimanking hiyo buswelu ya mwaka gani?.
mwanza sec huikumbuki, kamanda sije, machumpina , kinshuli na mafuru. Soweto
Hahaha "wapush" mna vitukoNamkumbuka ticha bundala mwanza sec alikuaga anavaa yebo yebo anabeba na limfuko limechorwa zile katuni za kuleana, siku moja walitaka kuzichapa na kinshuli kisa kinshuli amemsema kaenda kwa bundala kakuta wanakula ugali mkubwa eti mtu wa upande huu na upande mwingine hawaonani
Hahahahaha, Nature ya huo ugali ni koboko ase.Namkumbuka ticha bundala mwanza sec alikuaga anavaa yebo yebo anabeba na limfuko limechorwa zile katuni za kuleana, siku moja walitaka kuzichapa na kinshuli kisa kinshuli amemsema kaenda kwa bundala kakuta wanakula ugali mkubwa eti mtu wa upande huu na upande mwingine hawaonani
na wale wa mazengo tech+msalato njooni humuJangwani sec,,mama nkya,mbowe( RIP) kunga( mnokoo) mama mkamati( rip) 2001-2004
Amegongwa siku ipi hiyo? Twambie tukahani a sijui maziko wapiNi kweli amefariki, nimeuliza kwa wadau walioko Mwanza ni kweli amegongwa na gari maeneo ya makongoro
Jamani wamekanusha kwamba hajafariki, sasa sijui tushike lipiDuh maskini kinshuli, nakumbuka vituko vyake, alivokua anatusihi vijana jitahidini kuutafuta umaarufu, jamba hata mbele za watu uwe maarufu....
Ila nmesikia sio kweli ni uzushi hajafa
Kuna kanusho linapita kwamba hajafariki,Amegongwa siku ipi hiyo? Twambie tukahani a sijui maziko wapi
Hajafariki ni uongoJamani wamekanusha kwamba hajafariki, sasa sijui tushike lipi
YAH:KUKANUSHA TAARIFA ZA UONGO DHIDI YA MWL KINSHULI:
Hbr ya Leo wanabodi!
Tangu Jana jmosi tar.11/11/2017.majira ya SAA kumi jioni viongozi wa mwanza sec,Kuanzia Mkuu wa shule,Wasaidizi wake na walimu kwa ujumla tumepokea simu nyingi sana zikitaka kufahamu ukweli kuhusu kugongwa Gari Mwl wetu Kinshuli na kufariki dunia.
Ukweli ni kwamba Kinshuli yuko salama salimini kabisa.Anaendelea na harakati zake za maisha. Aidha kwa Bahati nzuri Jana Mwl Kinshuli hakufanya mazoezi yake wala kusafiri kwenda mahala popote.Hata hivyo mbali na kusikitika kwa taarifa hizo za Uongo tunafuatilia kujua chanzo cha Uvumi huuu.
Kwa kupitia jukwa hili naomba litumike kusambaza ujumbe huu wa kukanusha Taarifa hizi za Uongo,Dhidi ya Jemedali wetu wa michezo ya Riadha na mtaalamu wa kufundisha somo la Historia.Mwl.Jeremiah Kinshuli.
Wasalaam!!!
Abel Dendwa.