Hahaa nilikuwa nawsikia, miaka ya 1998 kurudi nyuma, watu walikuwa wanaendelea kuja shule wakati darasa lake walishamaliza.manking hiyo buswelu ya mwaka gani?.
mwanza sec huikumbuki, kamanda sije, machumpina , kinshuli na mafuru. Soweto
MR. Otto, MR mazingo alikuwa kilema anavituko sana ha ha haaa , mr Byamungu.Mkuu wa bushrunners unawakumbuka hawa maticha enzi hizo
1.The headmaster
Sir.Luhemeja
2.S/master Mr.Hinda
3.Ngassa-yupo
Buhongwa sec sa hv
4.Mr.Kambi-yupo ukara
sek
3.Mr.Jengo
4.Mr.Musiba
5.Mr.Machage
Wengine nimewasahau
Mikenze mwalimu wa History sio? alikuwa mwalim wangu huyo shule fulani
Sitomsahau alinichapa siku moja hadi leo nakumbuka
Mwl Kinshuli amefariki? Lini jamaniWale mliosoma Mwanza secondary miaka ya 90 nimepata taarifa Mwl. Kinshuli amefaliki kwa kugongwa na gari akiwa kwenye mazoezi yake ya kukimbia.Pumzika kwa amani The greatest of all time Mr.Kinshuli!
Arusha sec shule yangu miaka 40 iliyopitaNakumbuka darasa moja la wahuni pale Arusha Sec yaani hao jamaa ni shida ilibidi mda wa break darasa lao lifungwe kwa nje ili wasiwasumbue madogo. Mpaka break ikkisha basi nao ndio wanaenda kupata break yao.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] jamaa slikua anakimbia kwa constant speed kutoka mjini hadi Igoma kama ni kweli RIP KinshuliWale mliosoma Mwanza secondary miaka ya 90 nimepata taarifa Mwl. Kinshuli amefaliki kwa kugongwa na gari akiwa kwenye mazoezi yake ya kukimbia.Pumzika kwa amani The greatest of all time Mr.Kinshuli!
Ni kweli amefariki, nimeuliza kwa wadau walioko Mwanza ni kweli amegongwa na gari maeneo ya makongoro[emoji15] [emoji15] [emoji15] jamaa slikua anakimbia kwa constant speed kutoka mjini hadi Igoma kama ni kweli RIP Kinshuli