Unakumbuka nn..?

Yemwe!!!! ni muv iliyo niaharibia Christmas 2003...cku enjoy kabsa pamoja na kupewa vyoda kam vyote....nilkuw natetemeka ad mchana kam npo pekeangu popote pale
 
BONGE LA MOVIE, KATIKA BONGO MOVIE MAJINI...........LONG TIME
 
Sikumbuki chochote mimi
 
Dah ile scene ya shumileta kula moyo mpaka leo
20's kids hawawezi kuelewa
 
Mtu aliye cheza kama Jini nikikutana naye Yani sijui atanambia kilugha gani ili nimuelewe, yani na nisimuogooe, yani naona kama Jini huyu hapa
 
Hii ilinifanya nihame geto nililokuwa nakaa niliamia kwa baba ... Sijui kama inapatkana madukan mpaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…